Thursday, February 18, 2010

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wamesimama na kuinamisha vichwa, kumkumbuka aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu, Hayati Rashidi Mfaume Kawawa kabla ya kuanza kwa mkutano wao Mjini Dodoma Februari 13, 2010. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, Mwenyekiti Mstaafu na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi , Makamu mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Aman Abeid Karume, Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) , Pius Msekwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

kamati kuu ya CCM Feb 13, 2010, Dodoma

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete na wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wamesimama na kuinamisha vichwa, kumkumbuka aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu, Hayati Rashidi Mfaume Kawawa kabla ya kuanza kwa mkutano wao Mjini Dodoma Februari 13, 2010. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, Mwenyekiti Mstaafu na Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi , Makamu mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Aman Abeid Karume, Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) , Pius Msekwa.

SULEIMANI NYAMBUI NA MBIO ZA NYIKA 2010

Katibu Mkuu wa Chama cha Riadha Tanzania(RT) Suleiman Nyambui (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini hivi karibuni kuhusu wakimbiaji wa mbio za nyika za Kilimanjaro 2010 ambazo zitafanyika mwisho wa mwezi huu Mkoani Kilimanjaro(kulia) ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe.Mbio hizo za nyika zimedhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro, Vodacom.pamoja na makampuni mengine nchini ikiwemo kampuni ya KK Security,Tanga Cement.Good Year, Kilimanjaro Water,Tanzanite One, DT Dobie Tanzania, TPC, New Africa Hotel na Keys Hotel. Picha na Mwanakombo Jumaa.-Maelezo

Thursday, January 28, 2010

BDO LAUNCHED IN TANZANIA



Former first lady Mama Anna Mkapa (right) was among the guests who attended a reception to officially launch the BDO International firm in Tanzania, this is the fifth biggest auditing firm in Tanzania, before it merge with BDO it was called DCDM East Africa. Left is BDO International chief executive Officer, Sandeep Khapre and centre is Dr Ken Kwakuh, Chairman BDO Africa

ZAIN LAUNCHES 'NIPE NIKUPE' PRODUCT.


Zain Executives, during the launching of instant bonus airtime ‘Nipe Nikupe’ in Dar es Salaam yesterday, with this new product customers will receive back Sh 200 instantly for every sh 200 spent on a daily basis, which means every sh 200 spent on Zain calls per day will give you back the same amount to spend on Zain. The brand will also carter to other communications providers in the country. From left,The Marketing Manager Kelvin Twissa, Chief Operating Officer, Anglophone countries, Khaled Muhtas,Zain Managing Director and Ahsam Sayed, Marketing Director.

Tuesday, January 26, 2010

MWALIMU NYERERE NA WAKUU WA MAJESHI WA ZAMANI.

Mwalimu Nyerere (katikati) akiwa na wakuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama wa zamani katika picha ya pamoja iliyopigwa Ikulu miaka mingi iliyopita.

MWALUMU NYERERE ALITUMIA VIATU HIVI.


Viatu pamoja na vifaa mbali mbali alivyotumia Mwalimu Nyerere akiwa shambani kwake Butiama, wakati alipostaafu uongozi.

SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA, DEC 9, 1961

Ni moja ya shamrashamra siku ya uhuru wa Tanganyika Dec 9,1961 usiku. hicho ni kikosi cha bendera.

PICHA YA PAMOJA NA WATOTO

Meneja Mawasiliano wa benki ya NMB, Shyrose Bhanji akipiga picha na watoto wa Wilayani Ludwewa alipotembelea huko mwaka 2009

ANAPENDA WATOTO

Shyrose Bhanji akiwasalimia wanafunzi wa shule ya msingi alipotembelea Wilayani Ludewa kutoa misaada ya maendeleo kwa niaba ya benki ya NMB mwaka 2009.

HII NI REDIO ALYOTUMIA MWALIMU NYERERE

Redio yenye nguvu ya kupata vituo vingi ya redio ulimwenguni, aliyokuwa akitumia Mwalimu Nyerere akiwa Dar es Salaam na mikoani kupata habari za ulimwenguni.

Monday, January 25, 2010

Sunday, January 24, 2010

JUMBA LA MAKUMBUSHO YA MWALIMU NYERERE.

Nyumba ya makumbusho ya Mwalimu Nyerere, lililoko kijijini Butiama

MADARAKA NYERERE

Mtoto wa Mwalimu Nyerere, Madaraka akizungumza na Shyrose Bhanji alipotembelea Butiama, ambapo pia alitoa heshima kwenye kaburi la Mwalimu.

PICHA YA PAMOJA MKUTANO MKUU WA PPF ARUSHA.


viongozi waliohudhuria mmoja wa mikutano ya PPF iliyofanyika katika ukumbi wa AICC mjini Arusha.

TUZO YA PPF KWA NMB


Ni Tuzo inayotolewa kila mwaka na PPF kwa makampuni na mashirika mbali mbali yanayochangia vizuri kwenye mfuko wa PPF. hii ilikuwa katika moja ya mikutano ya mwaka iliyofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha.

NMB YAPATA TUZO


Ofisa Mjasiliamali watu (Chief of Human Resources) wa Benki ya NMB, Kabeho Solo (kushoto) akipokea tuzo kwa niaba ya NMB, wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa PPF unaofanyika kwenye jumba la mikutano la AICC, mjini Arusha kila mwisho wa mwaka.

JOHO LA HAYATI MWALIMU NYERERE


Wakati akiwa kwenye sghuli za mahafali hasa katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam,Mwali alipendelea kuvaa joho hili la kisomi.

MWALIMU NYERERE NA JOHN F. KENNEDY

Mwalimu Nyerere akiwa na Rafiki yake aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy ambaye pia ni marehemu.

NYUMBA INAYOHIFADHI KABURI LA MWALIMU NYRERE,BUTIAMA.


Nyumba inayohifadhi kaburi la Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

SHYROSE BHANJI ATEMBELEA BUTIAMA


Shyrose (kushoto) akiwa na Madaraka Nyerere mtoto wa Baba wa Taifa, wakipiga picha ya pamoja kwenye sanamu ya Mwalimu.

MERCY SILLA DC WA ARUMERU


Alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya elimu Tanzania (TEA) sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.

Saturday, January 23, 2010

MAANDAMANO


Maandamano ya Waislamu yaliyowahi kufanyika Dar es Salaam.

FFU CONFRONTS A DEMONSTRATOR


Members of the Field Force Unit (FFU) confronts a demonstrator in Dar es Salaam.

NI HATARI TUPU

Baiskeli ya miguu mitatu ikiwa imepakia mizigo pamoja na watoto, ni hatari hapa jijini Dar es Salaam.

UDSM STUDENTS

Students of the Dar es Salaam University at the graduation ceremony in 2007

DSM UNIVERSITY STUDENTS

Graduands ready to receive their Digries.

ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA.

Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tayari kupokea digrii zao.

NI SIKU YA FURAHA

Wahitimu wakisubiri kutunukiwa digrii zao.

WAHITIMU UDSM MWAKA 2007

Ni kweli elimu haina mwisho.

WAHITIMU CHUO KIKUU CHA UDSM MWAKA 2007

Baadhi ya wahitimu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

HONGERA SANA

Ni mtu mzima, lakini hakutosheka na elimu aliyokuwa nayo, ndipo mwaka 2007 akahitimu tena katika Chuo Kikuu cha DSM.

HONGERA MWANANGU

Mkazi wa jijini Dar es Salaam akimvisha shada la mau mwanawe aliyehitimu katika Chuo Kikuu cha Daar es Salaam mwaka 2007.

MAFURIKO DAR ES SALAAM.

Ni shida inayowakabili wakazi wa Dar es Salaam wakati wa mvua za masika, wakati huo nyumba nyingi huzingirwa na maji.

UJUZI HAUZEEKI

Mzee wa miaka mingi akiendeleza maisha yake kwa kazi ya kufuma kofia jijini Dar es Salaam.

PROF KABUDI AMPONGEZA HOSEA

Prof Palamagamba Kabidi wa UDSM akimpongeza Dk Hosea mara baada ya kutunukiwa Phd yake mwaka 2007.

HOSEA AWA DAKTARI

Ni baada ya kujipatia Phd yake katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2007 sasa ni Dk Hosea.

ELIMU HAINA MWISHO

Ni siku ya furaha kwa muhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, baada ya kujipatia digrii yake.

ASKARI KUTUMIA NGUVU KUBWA

Askari Polisi wakimkwida mmoja wa waandamaji jijini Dar es Salaam.

MUSLIM WOMEN DEMONSTRATES IN DAR

Muslim women demonstrates in Dar es Salaam.

UDSM STUDENTS DEMONSTRATES


UDSM Students demonstrates on 40 percent.

CHIEF SHEIKH, SHABAN BIN SIMBA

Chief Sheikh Shaban Bin Simba (right) and the late Sheikh Gorogosi

Friday, January 22, 2010

MIRADI YA SOLAR YAWEZA KULETA MAENDELEO VIJIJINI.

Utaalamu wa Solar, unaweza kuleta maendeleo vijijini, ni budi kuiga mfano huu wa mradi mkubwa wa solar unaomilikiwa na Masista Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma.

MITI YA JATROPHA


Miti ya Jatropha ikiwa imestawi vizuri Wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma ni zao bora kwa uchumi wa nchi.

HUU NDIYO MTI WA JATROPHA

Mti wa Jatropha ukiwa umestawi vizuri katika wilaya ya Mbinga, Mkoani Ruvuma.

UKAUSHAJI WA JATROPHA


Namna ya kukausha mbegu za Jatropha.

WATOTO WACHANGAMFU

Watoto wachangamfu kutoka Wilayani Mbinga, Mkoani Ruvuma

MBEGU ZA JATROPHA

HIzo ni mbegu kutoka mmea wa jatropha unalimwa Mbinga mkoani Ruvuma na Wamisionari.