Friday, January 22, 2010

INASIKITISHA SANA

Baadhi ya majeruhi katika ajali mbaya ya Daladala iliyotokea katika bonde la Msimbazi na Kigogo mwaka 2007, pia walikuwapo watoto. Hapa wakihudumiwa katika hospitali ya Amana Ilala Dar es Salaam,.

No comments:

Post a Comment